VIDEO: FILAMU MPYA KUHUSU NUHU WA KWENYE BIBLIA YAANDALIWA - TAZAMA TRAILER YAKE HAPA.
Noah ni filamu mpya ya story kwenye Biblia iliyoigizwa na Russell Crowe,
Emma Watson na wengine. Inatarajiwa kuingia sokoni March 28, 2014.
Trailer yake imetoka jana. Kama ilivyo story ya Nuhu kwenye biblia, Nuhu (Russell Crowe) anajaribu kuwaambia watu wa dunia waache uovu na kumrudia mwenyezi Mungu kabla hawajachelewa, lakini hakuna anayemsikiliza. Nuhu na familia yake wanaamua kujenga Safina kama walivyoagizwa na Mungu ili Safina hiyo iwanusuru na gharika iliyoandaliwa na Mungu.
Sasa tazama trailer hiyo hapo chini..

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA