PICHA ZA NYUMBA MPYA YA "P-SQUARE" NI DHAHABU TUPU!.
Hawa ndio wale wasanii wanaotarajiwa kutua Tanzania ndani ya mwezi huu yani tarehe 23, hizi ni baadhi ya picha za nyumba yao mpya, ambapo ndani ya nyumba hii kwa asilimia kubwa ya vitu ni dhahabu tupu!!
Mmoja wa P-Square yani Peter ndiye aliyeachia picha hizi zinazozidi kumake headline katika mtandao na vyombo mbali mbali vya habari barani Afrika.
Ukiwa na pesa zitumie, na hivi ndivyo wakali wa wimbo wa Personality walivyofanya kwa sasa.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA