Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: LINEX ACHEZA FILAMU MPYA YA AUNT EZEKIEL, INAITWA "MWAJUMA".

 Msanii wa muziki wa Bongo Flava maarufu kama Linex, sasa ajitupa katika sanaa ya uigizaji, ikiwa ni baada ya kushiriki katika filamu mpya ya msanii wa Bongo Movie yani Aunt Ezekiel.

Katika Movie hii inayofahamika kama "Mwajuma", ambayo pia ni ya kwanza kwa msanii Linex, amecheza kama mmoja wa mwanaume wanaye wanaogonganishwa kwa binti mmoja.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.