Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA SEHEMU YA UTAJIRI WAKE - NI DOLA NA CHENI ZA DHAHABU.

Msanii kinara wa miondoko ya kizazi kipya yani Diamond Platnumz, ameonyesha burungutu la hela dola za kimarekani za 100, 100 huku zikiwa zimefungwa na mkufu wa dhahabu kama  rubber band.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.