Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: DIAMOND AKIWA KATIKA HARUSI YA PETER WA P-SQUARE, NIGERIA.

Msanii Diamondi akiwa na bwana harusi - Peter wa P-Square siku ya harusi.
 Akiwa Nigeria, msanii wa miondoko ya kizazi kipya yani Diamond, amepata nafasi ya kuhudhulia harusi ya Peter, mmoja wa magwiji wa muziki wanaosubiriwa kwa hamu hapa Bongo tarehe 23 mwezi huu yani P - Square.

Peter wa P-Square amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu "Lola Omatayo" ambaye pia ni mama wa mtoto wake.

Peter akiwa na mkewe Lola.
Huu ndio ukumbi ambao harusi hiyo ya Peter wa P-Square ilipofanyika huko Nigeria.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.