MWANA FA, CRAZY GK NA AY NDANI YA WIMBO MMOJA.
Wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, yani AY, Mwana FA na Crazy GK, WALIOKUWA WAKIUNDA KUNDI LA ZAMANI LA MUZIKI la East Cost Team, wakutana studio katika kutengeneza Song.
Wakali hao waliotamba na wimbo wa "Hii Leo" time ile ambao ulitengenezwa na John Mahundi kwa mujibu wa Bongo5 katika nyimbo mdili tatu walizotengeneza AY, GK na FA, John Mahundi amefanya ameshiriki. Wimbo mpya utaachiwa hivi karibuni.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA