VIDEO TEASER: TIWA SAVAGE - "OMA GA"
Mwana dada anayetamba
kimuziki katika ukanda wa Africa Magharibi maarufu kama Tiwa Savage
anategemea kuachia video yake mpya hivi karibuni ya kibao kiitwacho Oma
ga, na siku ya jana mwana dada huyo alipandisha kipande kifupi cha video
ya wimbo huo kwenye ukurasa wake wa youtube… Tazama Ujio huo mpya wa
mwana dada Tiwa Savage hapa…
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA