Header Ads

Breaking News
recent

Video: Mike ft. Joh Makini - Likizo [Behind Scene] Official Teaser

Hii ni video ya nyuma ya pazia ya wimbo mpya wa Audio unaokwenda kwajina la "Likizo" ikiwa ni wimbo wa kwanza wa  msanii mpya katika game ya muziki wa kizazi kipya, unaweza kumuita Mike ambapo jina lake halisi ni Michael Lukindo.
Mapema mwezi Novemba 1. 2013, Mike ataachia wimbo huu wa Audio unaoitwa "Likizo" aliomshirikisha Joh Makini, huku production ikifanywa na producer Lucci. Basi shabiki tunaomba ushirikiano wenu katika ngoma hii kali sana ya miondoko ya R&B na Hip Hop mara itakapodondoka kwani nakwahidi utaipata hapa hapa Asili Yetu Tanzania Blog.
TAZAMA VIDEO HII HAPA...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.