Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: MAAJABU, AKAANGA KUKU KWENYE MAFUTA YA MOTO KWA KUTUMIA MIKONO YAKE.

Kwa mara ya kwanza nashuhudia maajabu kama haya, ambapo mtu huyu anayefahamika kama Kann Trichan raia wa Thailand, akikaanga kuku kwenye mafuta ya moto yenye joto la degree 480 kwa kutumia vidole vyake.

Inasemekana kuwa jama huyu alianza shughuli hii ya kukaanga kuku kwa kutumia mikono baada ya kumwagikiwa mafuta ya moto na kutodhulika na mafuta hayo. Hivyo kupitia maajabu haya bwana Kann amepewa jina la "Superhand" yani mikono imara. Tazama video yake hapa..

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.