Baada ya wimbo mpya wa DJ Khaled - "I'm Still" kuchomoka, kunabaadhi ya verse ya aliyorap msanii Chris Brown haikutoka katika ngoma hiyo, ambapo inasemekana katika mistari ambayo Chris amechana inamdiss Rihanna. Sasa sikiliza kipande hiki hapa, alafu utahukumu mwenyewe....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA