SNOOP DOGGY AMEACHIA MIXTAPE MPYA YA - "THATS MY WORK".
Mwanamuziki wa mindoko ya rape maarufu kama Snoop Doggy ameachia mixtape yake mpya, inayokwenda kwa jina la That’s My Work, ambapo ndani yake kuna nyimbo 19. Baadhi ya wasanii walioshirikishwa katika mixtape hiyo ni Erik Sermon, Method Man, na Suga Free.
Snoop ataachia pia Album yake mpya tarehe 10 Desemba 2013 ambapo album hiyo ameipa jina la "7 Days Of Funk" ambayo ndani yake amemshirikisha mtaalamu wa miondoko hiyo ya Funk anayeitwa Dam-Funk.
Snoop ataachia pia Album yake mpya tarehe 10 Desemba 2013 ambapo album hiyo ameipa jina la "7 Days Of Funk" ambayo ndani yake amemshirikisha mtaalamu wa miondoko hiyo ya Funk anayeitwa Dam-Funk.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA