PICHA ZA KATARINA - MSICHANA MREMBO ALIYECHEZA TAMTHILIA YA WALANG HANGGAN (MY ETERNAL).
Msanii wa filamu za kifilipino anayefahamika kwa jina la uigizaji kama Katerina, aliyeigiza katika Tamthilia ya "Walang Hanggan au My Eternal ni kati ya waigizaji wenye mvuto na waliowahi kunyakua tuzo kibao za urembo katika tasnia ya filamu. Hizi ni baadhi ya picha zake.
Julia Montes ambaye ni Katerina ameigiza katika Tamthilia ya My Eternal kama msichana anayependwa na wavulana wawili, yani Daniel na Nathan. Katarina anaonekana kuwadatisha jamaa hawa wawili kiasi kwamba hawezi kuishi kwa amani bila mrembo huyu.
Katarina anatamba sana katika kituo cha luninga cha ABS-CBN na STAR TV kwa hapa nyumbani, ambapo yeye na Daniel kwa mwaka huu wa 2013, wameachia movie mpyaaaaaaa!!!! Karibu ASILI YETU TAZANIA kwa dondoo za ukweli.

U SHOULD BE ABLE TO SPEAK ENGLISH. IM UR FAN...NIGERIA
ReplyDelete