PICHA: WASHINDI WA FIESTA SUPER NYOTA 2013.
Wakali watatu, Edd Booy,K-Styhe na G.Lucky usiku wa jana wametangazwa kuwa
washindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota wa mwaka 2013 baada ya kuchaguliwa
na jopo la majaji. Shindano hilo lililofanyika Club San Siro, lilihusisha
vijana 18 waliotoka katika mikoa mbambali ya Tanzania na kuonyesha uwezo
wao mbele ya majaji watatu ambao walikuwa ni Dj Ibra, Lamar na Tika Hassan.
(Picha na Bongo5)
(Picha na Bongo5)

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA