Msanii wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya, maarufu kama Suma Mnazaleti, ameamka kuvuka boda hadi Afrika ya Kusini na kuachia video ya wimbo wake mpya. Hizi ni baadhi tu ya picha wakati wa utengenezwaji hideo hiyo.
PICHA: VIDEO YA MSANII SUMA MNAZALETI YAUNDWA NCHINI SOUTH AFRICA "CAPE TOWN" (.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, October 01, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA