Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha
hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa lakini ukweli ni
kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu
na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA