Header Ads

Breaking News
recent

NEW VIDEO: CHABA - "HEY WOMAN".

Kwa mara ya kwanza Chaba a.k.a Baba mkubwa anatoa video yake, hii inaitwa "Hey Woman" track inayopatikana kwenye mixtape yake "Nyota njema ya mtaa", video hii imetayarishwa na InNo Mafuru chini ya RedFilms Tanzania.
,

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.