Header Ads

Breaking News
recent

NEW SONG: WIMBO MPYA WA KITALE FT. MIDE ZO - "NAWAEKTIA".

Msanii mahiri wa maigizo nchini, maarufu kama KITALE, anayezikonga nyoyo za wapenda filamu za kitanzania, hasa pale anapoigiza kama mtumiaji wa madawa ya kulevya, sasa ameachia wimbo mpya unaozungumzia kuhusu vile watu wanavyomfikilia kuwa anatumia madawa ya kulevya... kumbea anawaektia tu..... SIKILIZA WIMBO HUU HAPA....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.