Baada ya mwanadada Maua kutamba na wimbo wake wa So Crazy aliomshirikisha Mwana FA, sasa amedondosha single nyingine inayokwenda kwa jina la "SIJIWEZI" mtayarishaji akiwa ni E.M.A wa Classic Sounds Studio. SIKILIZA HAPA....
NEW SONG: MAUA SAMA - "SIJIWEZI".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, October 09, 2013
Rating: 5
Ebwana noma sana huyu Mtoto
ReplyDelete