Msanii wa miondoko ya hip hop nchini maarufu kama Nay Wa Mitego, yuko katika dakika za mwisho mwisho kuachia remix ya wimbo wake wa "Salam Zao" aliowashirikisha wasanii takribani sita...kwa mujibu wa Bongo5.
NAY WA MITEGO KUACHIA REMIX YA WIMBO WA "SALAM ZAO"
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, October 02, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA