Header Ads

Breaking News
recent

ENDELEA KUFUATILIA KIPINDI CHA "DANGER ZONE LIFE" KINACHOLENGA KUKUPATIA NJIA MBADALA ZA KUKABILIANA NA UGUMU WA MAISHA.

Kipindi cha DZL ni kipindi mahususi kinacholenga kukuelimisha, kukupa moyo na kukufungua katika njia mbali mbali za kujipatia kipato, kujenga Taifa letu na jinsi ya kuishi maisha salama.

Kipindihiki kimekuwa kinawekwa katika mitandao mbali mbali hapa nyumbani Tanzania ambapo mada nyingi huzungumziwa na wataalamu wa mambo mbali mbali ya kijamii. Tunashukuru tunapata maoni mengi kutoka kwa wasikilizaji ikiwa ni pamoja na kutupatia mada mbali mbali wanazopenda kuchambuliwa na kuwekwa katika kipindi hiki.

Kila maoni yako utakayotuandikia hapa tutayafanyia kazi mara moja, ikiwa ni pamoja na wasikilizaji wenyewe kuwa chanzo chetu cha mambo mbali mbali yanayotokea katika jamii yetu. Na kama unachochote cha kutuandikia basi tuma hapa matangazotz@yahoo.com au toa maoni yako hapa chini.

 SIKILIZA KIPINDI CHETU CHA WIKI HII

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.