Header Ads

Breaking News
recent

EMINEM AMUOMBA MSAMAHA MAMA YAKE IKIWA NI BAADA YA KUMTUKANA. (Audio)

Msanii wa ngoma mpya ya Monster, namzungumzia Eminem kupitia wimbo wake mpya wa "Headlight" aliomshirikisha Ruess  amemuomba mama yake mzazi msamaha ili wamalize tofauti zao ambazo wamekuwa nazo kwa muda mrefu.

 Eminem alimdiss mama yake kwa matusi ya nguoni, kwa mfano katika wimbo wake wa mwaka 2002 - “Cleanin’ Out My Closet.” na nyingine nyingi. Lakini msanii huyu ambaye ameamua kukili makosa yake na kujutia verse zake ameomba msamaha katika album yake mpya ya The Marshall Mathers LP 2.

Haya ni baadhi tu ya maneno kutoka kwa Eminem aliyotumia kumuomba mama yake mzazi msamaha...“‘Cleanin’ Out My Closet’ and all them other songs, but regardless, I don’t hate you/ ‘Cause ma, you’re still beautiful to me ’cause you’re my mom.”

 “And I’m mad I didn’t get the chance to thank you for being my mom and my dad,” Alisema Em. “So mom, please accept this as a tribute.” Msikilize mwenyewe hapa...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.