DANGER ZONE LIFE - KIPINDI CHA RADIO WIKI HII KIMEZUNGUMZIA UTALII WA NDANI - SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA.
Wiki hii katika kipindi cha RADIO cha Danger Zone Life kinachowekwa mtandaoni kila wiki, safari hii kimezungumzia vivutio vyetu vinavyowasisimua watalii wa nje kuja kuvitembelea kwa wingi.
Lakini pia kimezungumzia jinsi watanzania na wananchi kwa ujumla jinsi wanavyokosa haki zao za msingi katika kufanya utalii wa ndani. Kipindi kikiongozwa na watangazaji mahiri kitakusogeza pale utakapo hitaji kufika. Sasa sikiliza na kupakua kipindi hiki hapa chini.....

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA