Home
BREAKING NEWS
MATUKIO
NEWS
BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO ONE NA ITV, JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA.
BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO ONE NA ITV, JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA.
Meneja
wa Aboud Media, Julius Nyaisangah,ambaye alikuwa mtangazaji wa Radio
One, amefariki dunia leo majira ya saa moja asubuhi katika hospitali ya
Mazimbu Mkoani Morogoro.
Taarifa za awali zinasema kuwa marehemu Nyaisanga alikuwa anasumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu pamoja na kisukari.
Wakati wa uhai wake, marehemu Nyaisanga aliwahi kufanya kazi sehemu
mbali mbali ikiwemo katika makampuni ya IPP ambako alikuwa mkurugenzi wa
Radio One pamoja na Radio Tanzania wakati huo ikiitwa RTD ambako
alikuwa mtangazaji wa vipindi mbali mbali. Marehemu ameacha mjane na
watoto watatu.Mungu amlaze mahali pema peponi.
Source: Anna Peter
BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO ONE NA ITV, JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, October 20, 2013
Rating: 5

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA