Header Ads

Breaking News
recent

ALBUM COVER YA TONI BRAXTON & BABYFACE - "LOVE, MARRIAGE & DEVORCE".

Ni miaka 21 tokea Diva, mshindi wa tuzo za Grammy (Toni Braxton) na yule producer mahiri na muasisi
(Babyface), waliposhirikishana katika wimbo wa "Give U My heart" mnamo mwaka 1992.

"Nadhani mimi na Babyface wote tumepitia hali ya talaka, hivyo tunashabihiana na ndio maana tumeamua kushirikiana katika mada hii, ambapo kupitia mada hii, wale wote waliopitia hali hii watahusika pia" Alisema Toni Braxton.

Album hii ya "Love, Marriage & Devorce" ya mwanamama Toni Braxton na Babyface, itaachiwa rasmi Novemba 25 mwaka huu, ambapo single yao ya "Hurt You"ambayo iko katika album hiyo, ilikwisha achiwa kama utangulizi tu.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.