Alaine ni msanii wa pili wa kimataifa atakaye shiriki katika fainali zitakazofanyika katika viwanja vya Leaders Club - jijini Dar es salaam siku ya Jumamosi ya tarehe 26 yani Jumamosi ijayo. Tazama sasa video ya mwanadada
Alaine ambayo imesumbua sana katika uwanja wa Reggae..
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA