Header Ads

Breaking News
recent

WEMA SEPETU KUANZA KUONEKANA "EAST AFRIKA TV" KATIKA KIPINDI CHAKE CHA "IN MY SHOES" KITAKACHO ZUNGUMZIA MAISHA YAKE.

 Kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV na EA radio umetoa habari njema kwa mashabiki wa filamu nchini baada ya muigizaji maarufu wa Bongo Movie maarufu kama Wema Sepetu kuanza kuweka wazi maisha yake katika kipindi chake cha "IN MY SHOES".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.