Hip-Hop Collabo toka kwa BadSpenderz waloipa jina "Wataelewa tu"
wakiwakilisha Arusha na hapa wameshirikishwa wasanii kibao akiwemo
Freddie FidoVato Bounako D Maujanja na Moplus, wimbo umetayarishiwa katika
studio za Noizmekah chini ya producer Defxtro.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA