Header Ads

Breaking News
recent

QUEENS RAPER NICKI MINAJ ANAFANYIA KAZI ALBUM YAKE MPYA.

Baada ya Queen wa miondoko ya muziki wa hip hop Marekani, Nicki Minaj kushika namba nne ya wasanii wa hip hop waliotengeneza mkwanja mrefu kwa mwaka 2013, sasa yuko busy anafanyia kazi album yake ya tatu.

Minaj amefunguka kuwa album hiyo mpya itachomoka mwakani yani 2014, japokuwa kwa mwaka huu hakuachia album yoyote ikiwa ni baada ya kupata mchongo wa kazi kwa muda huo wote. Ila Nicki ameeleza kuwa sasa amerejea tena katika game la muziki.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.