Header Ads

Breaking News
recent

KIM KARDASHIAN ATUMIA TOLEO JIPYA LA Apple iPhone 5s KABLA YA KUINGIZWA SOKONI.

Mwanadada Kim Kardashian ambaye pia ni mama wa mtoto wake North na mke wa raper Kanye West ameonekana kutupia picha katika mtandao wa Instagram akiwa na iPhone 5s toleo jipya ambalo hata bado halijaingizwa sokoni.

Tarehe rasmi ya kuanza kupatikana kwa simu hii aina ya Apple iPhone 5s ni mwezi huu wa September 20 ambapo siku hiyo huenda Afrika tusiione katika soko letu kwa siku hiyo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.