DIVA MARIAH CAREY NA "NAS" WAKO STUDIO WANAUNDA ALBUM MPYA.
The Pop Diva Mariah Carey baada ya kusherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwake mapema mwezi huu, sasa ametupia picha katika mtandao wa Tweeter wiki hii ambapo ameonekana akiwa na Jermaine Dupri na muasisi wa miondoko ya rap maarufu kama Nas, huku akichoronga ujumbe huu Tweeter... “This album…….!” alitweet Mariah.
Baadhi ya collabo waliokwisha fanya na msanii NAS miaka ya 2000 ni ile remix ya "Thank God I Found You". Hita hivyo Mariah alikuwa na wasanii kibao wa hip hop ambao pia huenda watadondosha vocal zao katika album hiyo. Kwa mfano Young Jeezy, Mike Will Made-It, Rodney Jerkins, na The-Dream.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA