DIAMOND PLATNUMZ AJIBU TUHUMA ZA KUTUMIA BEAT YA WIMBO WA DYNA NA CHORUS YA BABA LEVO.
Ni siku chache tokea msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) maarufu kama Diamond Platnumz kufunguka dhidi ya kilichokuwa kikisemwa na vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini.
Kuna tuhuma kibao ambazo zilikuwa zimezagaa katika midomo ya watu kuwa Diamond ametumia beat ya wimbo wa msanii Dyna Nyange katika ngoma yake inayozidi kukonga nyoyo za mashabiki wa "Number One". Hata hivyo haikuishia hapo, msanii Baba Levo naye alidai kuwa Diamond ametumia Chorus ya wimbo wake.
Diamond kupitia kituo cha radio cha Clouds FM katika kipindi chake cha XXL alifunguka kuhusiana na tuhuma hizo. Msikilize hapa.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA