Mwanamitindo wa kitanzania Jackie Cliff, kupitia Instagram yake amefunguka kuwa hataki tena kuitwa "Boss Lady" baada ya kuona kuwa now days kuna mabinti wengi katika mitandao ya kijamii wanaojiita jina hilo na hivyo ameamua kujiita "OfficialJackieCliff".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA