Washindi wa Tuzo za Wimbo bora wa reggae katika Kilimanjaro Music
Awards, Warriors from the East wanakuja na nyimbo mpya kabisa "Bongo Reggae" ikiwa ni single ya kwanza kabisa itakayopatikana katika album ya "Bongo Reggae" Pata kudownload HAPA
.
WARRIORS FROM THE EAST -"BONGO RAGAE" (DOWNLOAD NEW HIT).
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, July 29, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA