To all hiphop fans duniani hapa wanadrop vatoloco gangz na ngoma inaitwa HIZI FLOW ikiwa ni mixtape project itakayo drop soon kwa mtandao, pata kuskiliza joint hii HAPA ikiwa ni juu ya beat ya mambele, support Tanzania Hiphop na kwa mawasiliano.
VATOLOCO GANGZ MIX TAPE - SIKILIZA KWANZA "HIZI FLOW" (AUDIO).
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, July 10, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA