Kama ilivyo ratiba za "Creative Minds TZ" Kipindi cha video cha The Session kitakuwa na msanii Mswaki mwenye swaka sawa na za msanii Ngwair. Utapata nafasi ya kukitazama hapa Asili Yetu TZ kila mara kinapokuwa kinaruka
"THE SESSION" NA MSANII "MSWAKI" KAA TAYARI KUTUPIA MACHO HAPA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, July 29, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA