Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA WAKATI WA KUTENGENEZA WIMBO WA VIDEO WA MSANII GENTRIEZ - ARUSHA.

Kama ulikosa kutupia macho picha za wakati wa kutengeneza video ya msanii wa hip hop kutoka Arusha akiwa amemshirikisha mmoja wa Jambo Squad, basi wakati ndio huu.

Mandari yaliyotumika katika wimbo huu, ni shule, ambapo wahufika walivaa uhusika wa wanafunzi na tabia za kianafunzi.





Hapa dizaini kama mwanafunzi anaandika majibu mapajani ili aingie nayo kwenye mtihani.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.