PAMBANO KATI YA HALIMA MDEE & JACKLINE WOLPER, ANTI EZEKIEL NA ESTER BULAYA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI.
Mbunge Halima Mdee akitwangana vikali na muigizaji wa filamu za kibongo Jackline Wolper katika Tamasha la MATUMAINI, ambapo wote walitoka sale yani 10-10.
Mcheza filamu za kibongo Anti Ezekiel (kushoto) akichapana makonde na Mbunge Ester Bulaya (kulia) katika tamasha la MATUMAINI ambapo wana ndondi hao walitoka droo yani 5-5.
Mcheza filamu za kibongo Anti Ezekiel (kushoto) akichapana makonde na Mbunge Ester Bulaya (kulia) katika tamasha la MATUMAINI ambapo wana ndondi hao walitoka droo yani 5-5.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA