Header Ads

Breaking News
recent

MCHEZA FILAMU WA KIKE ANGELINA JOLIE ANAONGOZA KWA MALIPO.

 Kwa mujibu wa jarida la sasa la  Forbes, Angelina Jolie inasemekana ndiye mcheza filamu wa kike Hollywood anayekamata kitita cha fedha kikubwa bila hata kuwa na movie mpya sokoni.

 Forbes imetoa orodha ya wasanii wa wanaolipwa fedha nyingi tokea Juni 2012 hadi Juni 2013 ambapo Angelina Jolie ameshika nafasi ya kwanza ingawa amekaa muda mrefu bila kuwa na movie mpya, tokea movie yake ya miaka ya 2010 "The Tourist". Movie aliyocheza au shiriki ya mwisho ni "Kung Fu Panda 2," miaka ya 2011 hivi.

Angelina kwa mujibu wa Forbes anakamata kitita cha $33 million kati ya June 2012 na June 2013.

1 comment:

  1. Thanks for sharing such a pleasant thought, paragraph is
    good, thats why i have read it fully

    my web blog: Buy Emerald Lux

    ReplyDelete

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.