ITV HABARI: MFANYA BIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU SITA.
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu
mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha
wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada
mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA