Header Ads

Breaking News
recent

VIONGOZI WA CHADEMA WAJUMUIKA SOKONI ONE ARUSHA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WANACHAMA WAO WALIOFARIKI KWA BOMU JIJINI ARUSHA.

Hapa ni Sugu akiwa na Peter Msigwa wakiongoza msafara.
Viongozi  wa chadema watua Arusha kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa wale waliofariki katika mkutano wa Chadema wakati wa mripuko wa bomu. Huku wakishirikiana na wananchi wa Arusha, John Mnyika ataongoza shughuli hizo.

Hili ndilo jeneza lililolobeba mwili wa marehemu ukipelekwa sokon 1

Habari na picha - Thomas Adam

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.