PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU JUDITH MUSHI (MUHANGA WA BOMU) YALIYOHUDHULIWA NA WABUNGE WA CHADEMA PAMOJA NA MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA.
Wabunge
wa Chadema wakiwa eneo la makaburi tayari kwa maziko ya marehemu Judith
Moshi aliyefikwa na mauti baada ya kulipuliwa na bomu kwenye mkutano wa
Chadema Arusha Jumamosi hii.. Marehemu ameacha watoto watatu wa kike.
Naomba radhi kwa picha hii ya tarehe 15 Juni 2013 eneo la Soweto - Arusha.
Kamanda mwenye tisheti nyekundu hapo ni Katibu wa Mbunge Godbless Lema, anaitwa Gabriel Kivuyo yuko ICU kwa siku ya tatu sasa hazungumzi kwasababu aliumia vibaya kichwani na miguu yote haina kazi! Tumuombee Mungu ampe uzima aendelee kulitumikia taifa.. Its so sad kwamba huyo mama aliyelala pembeni yake (akiwa marehemu tayari) baada ya mlipuko Kamanda Judith Moshi ndio amezikwa leo Sokoni 1, Arusha .. ni Kiongozi wa chama na kina mama na Katibu wa Chadema katika Kata hiyo. Judith ameacha mtoto wa miaka 2 na watoto wengine wa kike wote!
Habari na picha - Seria wa Arusha 255

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA