Header Ads

Breaking News
recent

JITAMBUE KWANZA - YAWAKARIBISHA MAKAMPUNI NA TAASISI ZA KIJAMII KUFANYA NAYO KAZI ZA KIJAMII.


Jitambue Kwanza kwa pamoja inawashukuru wadau wote wanaotembelea site hii tokea imeanzishwa na vijana wenye chachu ya maeendeleo ya jamii yetu ya Afrika Mashariki.

Kwa mapenzi yenu wasomaji wa site hii mmekuwa mkituma jumbe zenu tofauti tofauti kwa wingi, mkihitaji ushauri na wengine kutupongeza kwa kazi nzito ya kujaribu kuwafungua watu mbali mbali ili waweze kujitambua na kutambua hali ya maisha wayaishiyo, kwa pamoja tunawapongeza wadau hawa.

Kwa moyo wako safi na wenye mapenzi katika jamii yetu ya Afrika Mashariki, unaweza kutusaidia kuitangaza JITAMBUE KWANZA katika mitandao ya kijamii kwa kushare hapo chini. Wasomaji wetu wote tunawapenda na sisi hatuko kimaslahi zaidi bali tunajali maisha yako kwanza.

Mwisho kabisa tunatoa nafasi kwa makampuni na watu binafsi wanaoshughulika na maswala ya kijamii zaidi  tushirikiane kwa kupeana habari na mikakati ya kuisaidia jamii yetu. Wasiliana nasi hapa kwa barua pepe yetu-- karibuafrika@yahoo.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.