"WITHOUT DADDY" NI FILAMU ALIYOIGIZA MAMA YAKE "KANUMBA" ITAKAYO TAMBA SOKONI WIKI HII.
Filamu ya "Without Daddy" iliyochezwa na mama wa aliyekuwa kinara wa filamu nchini maarufu kama KANUMBA THE GREAT inatarajiwa kudondoka sokoni wiki hii.
"Without Daddy" imecheza na mama mzazi wa Kanumba akiwa kama muhusika mkuu, akiambatana na watoto wawili walioigiza filamu ya "Big Daddy" ikiongozwa na Steven Kanumba enzi za uhai wake. Sasa ni mwaka mmoja tokea Kanumba afariki. Natumai mashabiki wa filamu za Kanumba wanaisubiri kwa hamu kuitupia macho mwendelezo wa filamu ya Big Dady.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA