G HOOD FT. DEFXTRO - "NAENDELEA KUTAFUTA" (NEW SONG).
Anaitwa G-Hood toka Arusha,Newcomer aliyeanza harakati za kurekodi mwaka
huu, na zaidi ni rapper anayefanya zaidi muziki wa crunk na pia
Trap..
Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha defxtro katika chorus ya wimbo huu wa "Naendelea Kutafuta" Download HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania
Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha defxtro katika chorus ya wimbo huu wa "Naendelea Kutafuta" Download HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA