Header Ads

Breaking News
recent

BOBI WINE AVUNJA UKIMIA NA KUWATEMEA SUMU MAADUI WAKE.

Kutokana na tetesi kuwa, Beach ya One Love huko Uganda ambayo ni mali ya Bobi Wine imeshikiliwa na benki na ipo katika hati hati ya kuuzwa kwa hasimu wa mwanamuziki huyo, Bebe Cool, Bobi Wine ameamua kuvunja ukimya na kulifafanua swala hili.

Kutoka katika maelezo yake marefu kuhusiana na sakata hili, Bobi Wine amesema kuwa, Ma haterz wamekuwa wakizengea mali zake na mafanikio yake kila kukicha na swala la fukwe yake kuuzwa halina ukweli wowote.

Msanii huyu amesema kuwa hajawahi kufanya biashara yoyote na benki na
kuweka dhamana fukwe hiyo iliyo kando ya ziwa Victoria, na hafahamu wazushi wanatoa wapi mambo ya kupika kama haya.

Story na BaabKubwa Magazine

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.