Header Ads

Breaking News
recent

ALBERT MANGWEA (NGWAIR) - MSANII WA BONGO FLAVA AFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA KUSINI.

Albart Mangwair enzi za uhai wake.
BREAKING NEWS: Msanii ALBERT MANGWAIR (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini.

 Hakuamka toka jana baaada ya kulala. Rafiki wa karibu wa Ngwair Africa ya Kusini adai kuwa amefariki duniani ktk hospitali ya Hellen Joseph. Tutaendelea kukufahamisha kwa kadri taarifa zitakavyo tufikia kwa kina. R. I. P - NGWAIR.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.