Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO YA JAMBO SQUAD - "TUKUNYEMA" YAANZA KUSUKWA. (PICHA).


Picha kadhaa za kundi la JamboSquad aka Mamong'oo wakishoot VideoShoot ya wimbo wa "Tukunyema" na kampuni ya HPVMG Maeneo ya Ungalimited Arusha, kucheki Picha zote katika Facebook Bofya HAPA ukiendelea kusibiri mzigo kamili wiki ijayo.Kwa hisani ya vmgafrica.com

Pichani ni kundi la Jambo Squad wakiwa wanatengeneza video ya wimbo wao wa "Tukunyema" jijini Arusha.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.