Header Ads

Breaking News
recent

NAKAAYA FT DUNGA - "UTU UZIMA DAWA" (NEW AUDIO).

Baada ya msanii Nakaaya kutamba na ngoma zake kama Mr. Politician na nyinginezo alionekana kukaa kimia kwa muda mrefu, lakini sasa amerejea na wimbo mpya "Utuuzima Dawa" aliomshirikisha Producer Dunga akipewa sapoti na Lamar.

Usikilize hapa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.