Ndoa ya kimila ya msanii maarufu nchini Nigeria maarufu kwa jina la
2 Face Idibia na mke wake
Annie Macaulay, ilifanyika juzi kati nchini humo huku ikionekana kuhudhuliwa na watu maarufu kibao.
 |
Annie Mke wa Msanii 2 Face Idibia |
Msanii 2 Face Idibia bwana harusi wa siku hiyo.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA