Header Ads

Breaking News
recent

MASTAA KIBAO WA BONGO WAMIMINIKA KATIKA BIRTHDAY YA LADYNAA.

Ladynaa mwenyewe akiwa ameshikilia bonge la keki iliyokuwa imeaandaliwa kwaajili ya birthday yake.


                          Jacqueline Wolper (kushoto), akimlisha keki Ladnaa kwenye Bethidei yake.

                        Yussuf Mlela akiwa na Ladynaa katika red carpet ya birthday yake.

Beny Kinyaia akiwa na Ladynaa

Nay wa Mitego kama anavyoonekana na mtoto Ladynaa

Mama mzazi wa msanii Diamond (kushoto) akilishwa keki na Ladynaa.

Steve Nyerere akilishwa keki na Ladynaa.
BIRTHDAY ya aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV katika kipindi cha Friday Night Live, Ladnaa, ilifana vya kutosha jana ilipofanyika ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na mastaa kibao.

Habari/Picha: Musa Mateja/GPL

Global Publishers 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.